iqna

IQNA

Waislamu marekani
Waislamu Marekani
IQNA - Polisi wameimarisha doria katika nyumba za ibada na "vituo vikuu vya miundombinu" huko Dearborn, jimbo la Michigan nchini Marekani.
Habari ID: 3478304    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/04

WASHINGTON, DC (IQNA) - Mvulana mwenye umri wa miaka 6 ambaye alidungwa kisu na mwenye nyumba katika Kitongoji cha Plainfield wiki jana alizikwa Jumatatu baada ya ibada ya mazishi katika Wakfu wa Msikiti huko Bridgeview.
Habari ID: 3477750    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/18

WASHINGTON, DC (IQNA) – Mzungu mwenye umri wa miaka 71 katika jimbo la Illinois nchini Marekani aliyechochewa na chuki dhidi ya Waislamu na Wapalestina, amemuua kwa kumdunga kisu mara 26 mtoto wa Kiislamu mwenye umri wa miaka 6 na kumjeruhi vibaya mama yake.
Habari ID: 3477744    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/17

WASHINGTON, DC (IQNA) - Baadhi ya wanafunzi Waislamu na Waarabu nchini Marekani wananyanyaswa na kutishwa kwenye vyuo vikuu kufuatia kuzuka kwa mzozo kati ya vikosi vya upinzani vya Palestina na utawala wa Israel.
Habari ID: 3477733    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/14

Waislamu Marekani
WASHINGTON, DC (IQNA) - Meya wa chama cha Democratic kutoka New Jersey ambaye ni Muislamu na alizuiwa kuingia Ikulu wa White House mapema mwaka huu anapanga kuishtaki serikali ya Marekani.
Habari ID: 3477612    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/17

Waislamu Marekani
TEHRAN (IQNA) – Kulingana na ripoti, wagombea Waislamu wa Marekani wamepata ushindi mkubwa katika uchaguzi wa katikati ya muhula Jumanne uliofanyika katika ngazi za bunge la kitaifa, majimbo na mitaa.
Habari ID: 3476073    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/11